Wewe Pimbi Siku nyingine punguza Matumizi ya ama Bange au Gongo kwani Mtangazaji wa zamu leo Prisca Kishamba akiwa na Mchambuzi wa zamu Studioni Nicatius Kontinyo waliizungumzia hiyo Mechi ( japo kidogo ) ila akaahidi katika Kipindi chao cha Michezo cha Kesho Jumapili kinachoanza Saa 7 Kamili Mchana hadi Saa 8 Kamili Mchana wataizungumzia na Kuichambua kwa Kina kabisa na kutuomba radhi kwa hilo na Wanamichezo tunaojitambua tukamuelewa.Wakuu, leo nimekereka ajabu. Nikiwa tu ndo namaliza kusikiliza kipindi cha michezo cha radio Clouds FM cha kuanzia saa tatu usiku, kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa kipindi ni kufusu fainali ya UCL kati ya Manchester City na Chelsea huko Ureno leo hii.
Sijawasikia kuzungumza habari yoyote ya ligi yetu hasa ukizingatia kulikuwa na mechi kati ya Namungo FC dhidi ya Simba SC leo hii.
Nilitaka kuiweka hii kule kwenye michezo lakini nimeona hili linahusu zaidi Uzalendo hivo 'mods' naomba wanielewa. Nilivojawa na hasira nilitaka kujiapiza kutosikiliza tena kipindi hicho cha michezo cha Clouds FM cha kuanzia saa tatu usiku.
Nimekereka mno.
Hilo ndo tatizo yaani unatoa taarifa tu kwa kitu cha kwenu halafu unapoteza muda wa kipindi kwa kuzungumzia kitu cha nje ambacho hakijafanyika!!!!???Wewe Pimbi Siku nyingine punguza Matumizi ya ama Bange au Gongo kwani Mtangazaji wa zamu leo Prisca Kishamba akiwa na Mchambuzi wa zamu Studioni Nicatius Kontinyo waliizungumzia hiyo Mechi ( japo kidogo ) ila akaahidi katika Kipindi chao cha Michezo cha Kesho Jumapili kinachoanza Saa 7 Kamili Mchana hadi Saa 8 Kamili Mchana wataizungumzia na Kuichambua kwa Kina kabisa na kutuomba radhi kwa hilo na Wanamichezo tunaojitambua tukamuelewa.
Usitudanganye. Mchambuzi mahiri huchambua mechi iliyochezwa na si ile haijachezwa. Hao wanaochambua mechi ambayo haijachezwa mie huwaona kama wapiga ramli tu.Wazungumzie kipi wakati mechi imeshachezwa na matokeo yanajulikana? Mechi huzungumzwa kwa kina kabla ya mchezo baada ya mchezo muhimu ni kujua matokeo.
Tatizo mashabiki wa TZ timu zao zikishinda( Simba na Yanga) wanataka wiki nzima iwe story hiyo hiyo tu!
Usinipotezee muda mtafute Mtu akufafanulie vizuri maana na dhana halisi ya Media Content Marketability, News Teasing na Story Timing na ukielewa rejea tena Kwangu ukiwa umeiva Kifikra sawa?Hilo ndo tatizo yaani unatoa taarifa tu kwa kitu cha kwenu halafu unapoteza muda wa kipindi kwa kuzungumzia kitu cha nje ambacho hakijafanyika!!!!???
Sasa Namungo na Simba utachambua nini wakati matokeo yanajulikana. Simba hata wacheze wameziba vitambaa usoni wanashinda tu!! Huwezi kujiita mchambuzi kwa kuchambua ligi km hii isiyo na jipya wala maajabu.Usitudanganye. Mchambuzi mahiri huchambua mechi iliyochezwa na si ile haijachezwa. Hao wanaochambua mechi ambayo haijachezwa mie huwaona kama wapiga ramli tu.
Mimi nina miaka 8 sasa hii takataka siangaiki nayoWakuu, leo nimekereka ajabu. Nikiwa tu ndo namaliza kusikiliza kipindi cha michezo cha radio Clouds FM cha kuanzia saa tatu usiku, kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa kipindi ni kufusu fainali ya UCL kati ya Manchester City na Chelsea huko Ureno leo hii.
Sijawasikia kuzungumza habari yoyote ya ligi yetu hasa ukizingatia kulikuwa na mechi kati ya Namungo FC dhidi ya Simba SC leo hii.
Nilitaka kuiweka hii kule kwenye michezo lakini nimeona hili linahusu zaidi Uzalendo hivo 'mods' naomba wanielewa.
Nilivojawa na hasira nilitaka kujiapiza kutosikiliza tena kipindi hicho cha michezo cha Clouds FM cha kuanzia saa tatu usiku.
Nimekereka mno.
Inaelekea wewe pia una tatizo kama wao na ni washabiki wenzako wa Simba!Wakuu, leo nimekereka ajabu. Nikiwa tu ndo namaliza kusikiliza kipindi cha michezo cha radio Clouds FM cha kuanzia saa tatu usiku, kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa kipindi ni kufusu fainali ya UCL kati ya Manchester City na Chelsea huko Ureno leo hii.
Sijawasikia kuzungumza habari yoyote ya ligi yetu hasa ukizingatia kulikuwa na mechi kati ya Namungo FC dhidi ya Simba SC leo hii.
Nilitaka kuiweka hii kule kwenye michezo lakini nimeona hili linahusu zaidi Uzalendo hivo 'mods' naomba wanielewa.
Nilivojawa na hasira nilitaka kujiapiza kutosikiliza tena kipindi hicho cha michezo cha Clouds FM cha kuanzia saa tatu usiku.
Nimekereka mno.
Hii redio ishakufa, kuna maeneo kibao haifanyi kazi na ukiwatumia ujumbe hakuna majibu na sio kawaida enzi zileWakuu, leo nimekereka ajabu. Nikiwa tu ndo namaliza kusikiliza kipindi cha michezo cha radio Clouds FM cha kuanzia saa tatu usiku, kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa kipindi ni kufusu fainali ya UCL kati ya Manchester City na Chelsea huko Ureno leo hii.
Sijawasikia kuzungumza habari yoyote ya ligi yetu hasa ukizingatia kulikuwa na mechi kati ya Namungo FC dhidi ya Simba SC leo hii.
Nilitaka kuiweka hii kule kwenye michezo lakini nimeona hili linahusu zaidi Uzalendo hivo 'mods' naomba wanielewa.
Nilivojawa na hasira nilitaka kujiapiza kutosikiliza tena kipindi hicho cha michezo cha Clouds FM cha kuanzia saa tatu usiku.
Nimekereka mno.
Mie ni mwanasoka na si mpenzi wa soka. Hapa naongelea UZALENDO hata kama mechi ingehusisha Mwadui na Ihefu kwa mfano isingepaswa kudharaulika kwani ndo timu zetu. Mie hainiingii akilini kujadili jambo lililotendeka kwetu na kujadili kwa kina jambo ambalo halijatendeka huko Ulaya, labda kama tumetawaliwa tena!Inaelekea wewe pia una tatizo kama wao na ni washabiki wenzako wa Simba!
Clouds ni takataka
Mkuu, hayo ni mambo ya kiufundi na ndo tunataka kuyasikia kupitia radio zetu. Kumbuka "media" hizi zimesajiriwa Tanzania ili yuwatumikia Watanzania kwa masuala yao kwanza, hayo ya nje ni ziada tuSasa Namungo na Simba utachambua nini wakati matokeo yanajulikana. Simba hata wacheze wameziba vitambaa usoni wanashinda tu!! Huwezi kujiita mchambuzi kwa kuchambua ligi km hii isiyo na jipya wala maajabu.
Vilevile timu hazichezi kwa mifumo inayoeleweka zaidi ya kukaa golini na kupiga mpira mbele. No ball skills,No ball ballance,No ball driballing,wala ball control. Beki anafanya faulo ndani ya 18 wakati mshambuliaji anakimbilia pembeni. "Against the goal" We ulisikia wapi?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]. Utopolo mtupu!!!!!
Nchi hii pana vilaza kwelikweli. Mie naongelea UZALENDO, we unaleta unshomile kwani hapa tupo darasani? Jifunze kuelewa mada.Usinipotezee muda mtafute Mtu akufafanulie vizuri maana na dhana halisi ya Media Content Marketability, News Teasing na Story Timing na ukielewa rejea tena Kwangu ukiwa umeiva Kifikra sawa?