CCM imetupatia uhuru au vipi??, au niseme ilisimamia tanzania kupata uhuru, Na wanapokosea wanakosolewa tu hata hakuna kufumba macho, so Clouds kukosolewa ni kwa sababu ya mambo ambayo watu hawakubaliani nayo!, Zikija za wakenya Tutazifanya hivo hivo zikikosea!Napenda kwa moyo wote kutuma pongezi zangu kwa Clouds FM, tukumbuke wametutoa mbali, walikuja kipindi cha giza na kutuletea nuru kwenye ulimwengu wa habari.
Kuna thread zimekuwa zikija hapa ku criticize Clouds FM, naomba sana tujifunze kusifia kazi zetu zinazofanywa na watanzania wenzetu, hata wakishuka kiwango tuangalie jinsi ya kuwainua.
Clouds, kuteleza sio kuanguka! Nyie mnao-criticize radio zetu subirini za wakenya zinakuja mzipongeze.
Mungu bariki Clouds FM