Kama kuna mtu kamaliza secondary 2022 naomba tujuane tafadhali
Mimi naitwa YAHAYA FADHILI HUSSEIN. kama kuna mtu yoyote kamalliza secondary huo mwaka apo..
Hapa naongea na GENERATION Z ...πππππ
Duh! Jf imevamiwa na wajukuu.
Enzi hizo kwenye ujana wetu redio free Africa (R.FA) Kulikuwa Kuna kipindi cha kutafuta ndugu jamaa na marafiki mliopotezana nao kwasababu ya teknolojia bado ilikuwa chini
Hadi na zama hizi za AI bado unatafuta mliosoma nao secondary?
Hiyo elimu Yako ya secondary haijakusaidia au una ushamba flani hivi wa USHAGO.
Umekuja mjini unataka uwape taarifa