Nina wasi wasi na aliyekwambia hivo huenda ana lake jambo.Civil ndo yenyewe ndugu yangu.Imegawanyika ktk branches nyingi na ndo dili toka zamani,leo na hata mwisho wa dunia labda wanadamu waache ujenzi na kuishi kijima.Hebu fikiria,watu wa civil wanahusika ktk wizara nyeti kama zifuatazo;Wizara ya ujenzi,wizara ya uchukuzi,wizara ya maji na nyinginezo nyingi.Kwa hali hiyo ni ajabu kusema eti civil haina soko.