Habari za mchana mawakili wasomi na wadau wengine katika fani ya sheria.
Naombeni msaada wa ufafanuzi ni ipi proper citation ya high court kati ya hizi:
(a) in the high court of the united republic of Tanzania au
(b) in the high court of Tanzania
Ninaomba ufafanuzi huo kwa kuzingatia kuwa nimeona preliminary objection nyingi ambazo zimekuwa raised juu ya hizo citation
Nashukuru kwa ufafanuzi, swali dogo tu msomi, mtu akiquote in the high court of Tanzania peke yake bila kusema in the United republic of Tanzania atakuwa sawa ?

Atakuwa amekosea. Japo makosa yake hayatakuwa na athari kwenye msingi wa kesi na hivyo anaweza kuomba kufanya marekebisho, akaruhusiwa na akaendelea na kesi.
Nikiweza kuscreen shot regulations za citation nitakutumia pm.