Asante sana ndugu "cavani",
Microsoft is retiring Majority of it's Certifications including all the MCSA and MCSE by June this year and they are introducing Role based Certifications. So Pursuing an MCSA/MCSE at this point won't be beneficial, better start learning Azure Cloud because that's where they are focusing now. The list of retiring certs 👇MCSA TRAINING
windows Server 2012/2016
Course- MCSA
Software: Windows Server 2012/2016
Platform: Windows
Muda: Wiki 6 [3hrs/day] [Jumatatu-ijumaa]
Time: 1700-2000hrs
Fees: 700,000/=
Utapata: Material, Database ya maswali
Unaweza dondosha details,kuhusu hizo kozi, zahusika na nini, mtu ataongeza maarifa ya nin. Tujue namna ya kuongeza CV yetu.Dar Es Salaam
Darasa la CISCO-CCNA litaanza tr 03/08/2020, uandikishaji umekwisha anza.
Karibuni sana:
Muda: 1700-2100HRS - 4 hrs/ day
Tr: 03/08/2020 - 18/09/2020 -WIKI -7
Ada: Tshs. 700,000/= [Mafunzo pekee & Mitihani ya mazoezi]
.......
Kwa Mwaka 2020, Mafunzo haya ya MCSA, LINUX, MCSA, EXCEL FOR PROFESSIONAL yataendeshwa mikoani pia kwa kutegemea namba ya wahitaji katika mkoa husika.
1.Arusha
2.Mwanza
3.Dodoma
4.Mbeya
Kwa maelezo zaidi,
Tupigie: 0717 718519 | 0762 192 532 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
karibuni sana
Shukrani sana ndugu "EP PRO", hii kozi inahusiana na maswala yote ya kutengeneza mfumo wa mawasiliano sehemu husika, ofisini, nyumbani-Networking in general. Kwa sasa tunafundisha kwa mtaala mpya wa CISCO, hivyo basi kuongeza uwanja mpana kwenye maswala yote ya networking. Ni kozi nzuri sana yenye ahadi nyingi kwenye soko la ajira kwa sasa.Unaweza dondosha details,kuhusu hizo kozi, zahusika na nini, mtu ataongeza maarifa ya nin. Tujue namna ya kuongeza CV yetu.