Asante sana ndugu "Rommy Shabby" kwa CCNAMkuu ujasema darasa litakua wapi bei gani na kwa muda gani na vigezo pia! !
Asante sana ndugu, "batmanwafez", ada hii ni kwa ajili ya Training pekee, na Izo lab test za CISCO ni free hatutokutoa chaji ya ziada.Hio ada ni pamoja na mtihani wa CCNA au??
Hahahaha, ndugu "AvilSpirit", asante sana kwa kuja!tunavaa sare gani?
Asante sana ndugu "jang"!Linux bei gani?