mzee wa ndonga
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,108
- 88
Naomba kufahamu taratibu za kufanya mtihani, na mwaka huu utafanyika tarehe ngapi. Pia naomba kufahamu center za mitihani ya CISATrue Ink Associates inapenda kuwatangazia wote kuwa review class ya CISA (Certified Information Systems Auditor) itaanza tarehe 09/03/2020, Dar Es Salaam City Center.Golden Jubilee Towers, 17th Floor.Wing B.
Kozi ni ya week tano (5), kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa , saa 11:00 Jioni hadi saa 2:00 Usiku. Fee ni Tsh. 800,000/= ikijumlisha review, materials na database ya maswali na majibu.
Course Contents.
Domain 1— The Process of Auditing Information Systems
Domain 2— Governance and Management of IT
Domain 3— Information Systems Acquisition,Development andImplementation
Domain 4— Information Systems Operations,and Business Resilient
Domain 5— Protection of Information Assets
Kwa maelezo zaidi tupigie kupitia +255 713 451 713/0764 978 313
Email: mujinja@hotmail.com, info@trueinkassociates.co.tz
Contact person: Sam Mujinja—Course Director
Asante kwa swali zuri....Mitihani ya CISA sikuhizi inafanyika online. na ni muda wowote na siku yoyote. Ukishalipia mithani yako, ndani ya website ya www.isaca.org utaweza kuschedule exams date and time na kisha utaziona center za kufanyia exams kwa dsm zipo kama 3 hivi. moja iko masaki, ingine msasani na ingine Upanga...Naomba kufahamu taratibu za kufanya mtihani, na mwaka huu utafanyika tarehe ngapi. Pia naomba kufahamu center za mitihani ya CISA
Asantw..Mitihani ya CISA sikuhizi inafanyika online. na ni muda wowote na siku yoyote. Ukishalipia mithani yako, ndani ya website ya www.isaca.org utaweza kuschedule exams date and time na kisha utaziona center za kufanyia exams kwa dsm zipo kama 3 hivi. moja iko masaki, ingine msasani na ingine Upanga...
Gharama ni kiasi gani?Asantw..Mitihani ya CISA sikuhizi inafanyika online. na ni muda wowote na siku yoyote. Ukishalipia mithani yako, ndani ya website ya www.isaca.org utaweza kuschedule exams date and time na kisha utaziona center za kufanyia exams kwa dsm zipo kama 3 hivi. moja iko masaki, ingine msasani na ingine Upanga...
Gharama ya mitihan n sh ngap,. Na je vp statistics za ufaulu wakeTrue Ink Associates inapenda kuwatangazia wote kuwa review class ya CISA (Certified Information Systems Auditor) itaanza tarehe 09/03/2020, Dar Es Salaam City Center.Golden Jubilee Towers, 17th Floor.Wing B.
Kozi ni ya week tano (5), kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa , saa 11:00 Jioni hadi saa 2:00 Usiku. Fee ni Tsh. 800,000/= ikijumlisha review, materials na database ya maswali na majibu.
Course Contents.
Domain 1— The Process of Auditing Information Systems
Domain 2— Governance and Management of IT
Domain 3— Information Systems Acquisition,Development andImplementation
Domain 4— Information Systems Operations,and Business Resilient
Domain 5— Protection of Information Assets
Kwa maelezo zaidi tupigie kupitia +255 713 451 713/0764 978 313
Email: mujinja@hotmail.com, info@trueinkassociates.co.tz
Contact person: Sam Mujinja—Course Director
Gharama za mitihani zinategemeana na vitu viwili, cha kwanza kama wewe ni member wa ISACA ama non Member....Ili we member wa ISACA unatakiwa ulipe USD 195 kwa mwaka, na unaposajiri kwe esxam fee inakuja usd 575. Na kwa non member fee inakuwa usd 760. lakini hizi invoices zote zinatoka online kwenye website ya isaca.org.Gharama ya mitihan n sh ngap,. Na je vp statistics za ufaulu wake
Sent using Jamii Forums mobile app