CIA ni chombo cha Malkia wa Uingereza kinyume na kile watu walidhania ni ya wamerikani. Ndio inatumika kuleta neo-apartheid barani Afrika. Fear Mongering kweli haya mashirika ya ujasusi yasipewe kipau mbele Afrika. Nijuavyo Saudia na Marekani wamekuwa allies kwa muda mrefu. Itakuwaje wao ndio wanafadhili ugaidi Marekani.