b191 JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 742 Reaction score 1,032 Aug 10, 2016 #1 Habari wanajamvi.. Utafiti uliofanywa na Dk Brian unaonyesha kuwa uvaaji wa chupi au boxer wakati wa kulala ni hatari kiafya kwa watu wote. Baadhi ya madhara hayo ni Ugumba na maambukizi ya bacteria. Nawasilisha. Attachments 1470809937489.jpg 151.7 KB · Views: 110
Habari wanajamvi.. Utafiti uliofanywa na Dk Brian unaonyesha kuwa uvaaji wa chupi au boxer wakati wa kulala ni hatari kiafya kwa watu wote. Baadhi ya madhara hayo ni Ugumba na maambukizi ya bacteria. Nawasilisha.
Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,536 Aug 10, 2016 #2 yeah,''ikulu'' inahitaji ventilation.
Mkwaha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2012 Posts 1,732 Reaction score 3,267 Aug 10, 2016 #3 Ahsante Kwa Taarifa, Kuazia Leo Usiku Nitakuwa Navaa Kanzu.
mashish JF-Expert Member Joined Sep 8, 2015 Posts 831 Reaction score 544 Aug 10, 2016 #4 Asante kwa somo zuri mkuu
Mc Zipompapompa JF-Expert Member Joined Dec 3, 2015 Posts 296 Reaction score 289 Aug 10, 2016 #5 Hususni akina mama/dada/binti the effects are much higher
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,652 Aug 10, 2016 #6 Bora zirudi V.I.P chupi
BansenBurner JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,809 Reaction score 5,779 Aug 10, 2016 #7 Lala uchi wezi wakuingilie na sikuhiz wanapulizia madawa ya usingiz
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 7,936 Reaction score 10,561 Aug 10, 2016 #8 Nitakuwa navaa gaguro au nyanyapuzo wakati wa kulala
H HardMartin JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 308 Reaction score 113 Aug 10, 2016 #9 Bora zirudi zile chupi zetu za zamani zanye matundu matundu.
M mchepuko JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,192 Reaction score 1,418 Aug 10, 2016 #10 yeah ni kweli hasa wanaume...ukizingatia usiku mshedede huwa unaenda wima unaunyima uhuru wa kucheza cheza ndo maana wengine mnaishia kuwa na vibamia na mihogo iliyopinda...lala uchi kwa afya yako
yeah ni kweli hasa wanaume...ukizingatia usiku mshedede huwa unaenda wima unaunyima uhuru wa kucheza cheza ndo maana wengine mnaishia kuwa na vibamia na mihogo iliyopinda...lala uchi kwa afya yako
H HardMartin JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 308 Reaction score 113 Aug 10, 2016 #11 BansenBurner said: Lala uchi wezi wakuingilie na sikuhiz wanapulizia madawa ya usingiz Click to expand... Hapo ndipo utakapoona umuhimu wa kuvaa pichu au boska .....wakati huo wazee wanabofya
BansenBurner said: Lala uchi wezi wakuingilie na sikuhiz wanapulizia madawa ya usingiz Click to expand... Hapo ndipo utakapoona umuhimu wa kuvaa pichu au boska .....wakati huo wazee wanabofya
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,029 Reaction score 52,507 Aug 10, 2016 #12 kuna watu wanavaa chupi hadi leo?
FENtastic JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 6,780 Reaction score 10,553 Aug 10, 2016 #13 Miss Natafuta said: kuna watu wanavaa chupi hadi leo? Click to expand... Wee unavaa nni bibie
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,029 Reaction score 52,507 Aug 10, 2016 #14 4G LTE said: Wee unavaa nni bibie Click to expand... tulizaliwa uchi ,tutaishi uchi tutakufa uchi
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,786 Reaction score 35,747 Aug 10, 2016 #15 Miss Natafuta said: kuna watu wanavaa chupi hadi leo? Click to expand... Wasichana...yes wapo
FENtastic JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 6,780 Reaction score 10,553 Aug 10, 2016 #16 Miss Natafuta said: tulizaliwa uchi ,tutaishi uchi tutakufa uchi Click to expand... Acha spid bas tunaishi uchi? Mbona hapo ulipo umevaa! Tutakufa uchi? Labda ufie bafuni!
Miss Natafuta said: tulizaliwa uchi ,tutaishi uchi tutakufa uchi Click to expand... Acha spid bas tunaishi uchi? Mbona hapo ulipo umevaa! Tutakufa uchi? Labda ufie bafuni!
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,827 Reaction score 3,100 Aug 10, 2016 #17 whats app 0712505049 uume legelege kukosa hamu uume kusinyaa kuwai kumaliza
donbeny JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 3,612 Reaction score 3,243 Aug 10, 2016 #18 Hivi kuna watu wanavaa chupi hadi leo? mimi nalala mtupu kabisa boxer navua sitaki problems
mpiga era JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,078 Reaction score 2,269 Aug 10, 2016 #19 donbeny said: Hivi kuna watu wanavaa chupi hadi leo? mimi nalala mtupu kabisa boxer navua sitaki problems Click to expand... Ata ivyo wanaume hatuvaagi chupi labda wew tu..! Wanaume ni boxer bana chupi ni za madada
donbeny said: Hivi kuna watu wanavaa chupi hadi leo? mimi nalala mtupu kabisa boxer navua sitaki problems Click to expand... Ata ivyo wanaume hatuvaagi chupi labda wew tu..! Wanaume ni boxer bana chupi ni za madada
donbeny JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 3,612 Reaction score 3,243 Aug 10, 2016 #20 mpiga era said: Ata ivyo wanaume hatuvaagi chupi labda wew tu..! Wanaume ni boxer bana chupi ni za madada Click to expand... Mimi nimeona hoja iliyokuwepo kwani chupi haziuzwi madukani? ila mimi nilishahama huko siku nyingi probaply 20 yrs back
mpiga era said: Ata ivyo wanaume hatuvaagi chupi labda wew tu..! Wanaume ni boxer bana chupi ni za madada Click to expand... Mimi nimeona hoja iliyokuwepo kwani chupi haziuzwi madukani? ila mimi nilishahama huko siku nyingi probaply 20 yrs back