Vyuo vya afya kwa ngazi ya diploma vipo vingi sana karibu kila mkoa na karibu vyote vina ubora unaofanana inategemea huo ubora unazingatia vigezo gani na pia vinatoa kozi tofauti tofauti za afya
Ushauri wangu kama ni unataka kusoma maabara jaribu hiki MVUMI SCHOOL OF MEDICAL LABORATORY ASSISTANTS - DODOMA kinaweza kukufaa