Hivi we si ndio umeanzisha hii mada? Unaposema chuo ni chuo maana yake kuna allegation behind huenda vyuo havilingani. Ulichofanya wewe ni kutoweka justification. Hizi mada watu wanaishia kusemana hoo udom chuo cha kata sjui sua wakulima. Why, kwa nini we mutu sio mada za kujadili hizi bwanaaa