Chuo kikuu muhimbili

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211

MLONGANZILA WARUHUSU UJENZI WA CHUO KIKUU MUHIMBILI KUANZA
Baadhi ya wakazi wa eneo la Mloganzila, tarafa ya Kibamba wilayani Kinondoni, wamekubali kutoa maeneo yao ili kuruhusu ujenzi wa Hospitali na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS).
 

Hii haitatokea tanzania iliyopo kwenye sayari ya tatu!! Labda kama ipo tz nyingine huko mars!!!
 
Duh! hilo ghorofa hapo kati naomba Mungu mahakama hisijeamru lipunguzwe urefu kama lile la pale pahala jirani na naniii!
 
Mimi napinga Huu Mradi ni wa Kipuuzi hauna tofauti na Daraja la Kigamboni au Flyover Dar! Na unazidi kudhihirisha sisi tuna IQ ndogo!
Kwa nini hizo Pesa wasizigawe kwenye kila Hospitali ya Rufaa Nchini ili kuboreha huko kwanza? Dar tayari ina Muhimbili, sasa Muhimbili nyingine ya nini? Kuna watu wanatoka Sumbawanga, Biharamulo, Geita, Tunduru kuja tu kufanya x ray Dar.. Huu Mradi ni wa Kingese!
 
Kama kweli itatendeka, itakuwa hatua kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…