Kwanza nipende kuwa pongeza kwa kujitahidi kutoa course nyingi na nzuri..nadhan watanzania wengi hawajajua umuhim wa hiki chuo
Lakini bado wanakasumba ya kufanya kazi kwa mazoea hasa kipindi cha matokeo ya mitihani wanachelewa sana kutoa matokeo..IT wao hasa wa makao makuu ni sijui tuseme uzembe..kutokua makini kwenye ujazaji wa matokeo utakuta umejaziwa hivi..baada ya mitihani mingine utakita umebadilishiwa matokeo kama walikuwekea mfano B+ baada tena ya matokeo ya mwaka mwingine utakita either wamekuwekea A ama C..yaan hakuna umakini..sasa impact nikua utakuta matokeo unayatumia kazini iwe kwenye shirika ama serkalin kama provision of Result..ukataka kuya updates utasha ili umpelekee sponsor wako utakuta wameyabadiri..yaan ndio hapo wengi wanaona ugumu wakusoma hiki chuo..ufuatiliaji una milolongo hasa unakuta watu wapo vijijini sasa awasiliane na Regional Director utakuta nae awasiliane nao dsm makao makuu lkn hata ukiwasiliana nao wanafanya kwa mazoea kwanaana utakuta anae pigiwa simu makao makuu ndio kujibu kwa nyoodo ya kua na ajira..utekelezaji ndio F
Endapo uzembe mazoea majivuno na dhalau ya ya baadhi ya wafanyakazi ungekua hakuna basi nadhan hiki chuo kingekua kinasifika kwa kutoa elimu bora zaidi
Mimi Rai yangu ni kua OuT waendandane na science na techology..Distance laarning inabid kusiwe na kuchelewa kupata matokeo na uzembe uzembe wa IT uishe hatuwezi kuendana na Kasi ya serikali kwa kufanya kazi ya mazoea
Prof. Bisanda naomba uliangalie hili kwa munajimu wakulekebisha..ili heshima yako isihalibiwe na wafanyakazi wazembe