Jamaa hawa wa udom sijui vipi? Leo nimeshinda health science huku nikidodosa dodosa ofisi hii na hile huku walidai majina wanapublish leo lakini wanabandika mambo ya computer course ngoja tena kesho niwapandie mpaka kwa yule pro mrefu anayevaa bendera ya Tz.