Imekaa kiudaku lkn! Vp ni chuki binafsi!!? Au wamekufukuza kazi!!
Kuna chuo kinaitwa TANZANIA AVIATION UNIVERSITY COLLEGE kipo tabata magengeni dar es salaam kina husika na maswala ya anga kwanza hakina hadhi ya kuwa chuo kikuu cha anga Tanzania pili hakina ma instructor(waalimu) wenye hadhi na vigezo vya uana anga tatu kiko mazingira hatarishi kwa wanafunzi chuo cha anga kinatakiwa kiwe around airport ili wanafunzi wasome kwa vitendo na nadharia sasa badala ya kuona ndege wanafunzi wanaona walevi mwaisho kabisa hakijasajiliwa yani kina leseni feki na hata katika mtandao kinaonekana kimefungwa na hakiruhusiwi kusajiliwa tena maana hakina hadhi sasa wazazi kuweni makini chuo hakina future watoto wameenda kukua tuu...na kuna vigogo wameshikilia ndo maana akifungwi mwanzo kilikuwa airport kikafungwa sasahiv wamebadilisha jina wamekileta buguruni kuweni makini watanzania....