Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,522 Reaction score 14,005 Oct 28, 2013 #1 Habari wana JF, Nina mdogo wangu anataka kusomea Diploma in Tourism kwenye chuo chochote kilichosajiliwa na NACTE.Kwa yeyote anayejua chuo hicho tafadhali anitajie jina,naomba pia na mawasiliano yake.Asante.
Habari wana JF, Nina mdogo wangu anataka kusomea Diploma in Tourism kwenye chuo chochote kilichosajiliwa na NACTE.Kwa yeyote anayejua chuo hicho tafadhali anitajie jina,naomba pia na mawasiliano yake.Asante.