Chuo cha ususi na urembo

linah smile

Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
84
Reaction score
57
Je wewe ni binti,mama unamtoto yupo tu nyumbani hana ajira,umesoma shule na hujafanikiwa kupata kazi,hujasoma kabisa na hujui nini cha kufanya

Kwa kozi ya miezi mitatu tu,na ada nafuu kabisaa itakufanya ujiajiri mwenyewe kwa mtaji mdogo tu

Chuo chetu cha OGIA hair and dressing training collage kinatoa mafunzo ya ususi na urembo kuanzia kusuka mpaka kupamba maharusi

Masomo yataanza tarehe 4/4/2019 saa 2:30 asubuhi
Nafasi za hostel zipo,ada zetu ni laki tatu na nusu kwa hostel na laki tatu na kwa day

Chuo kipo mwanza geita- nyankumbu karibu na uwanja wa mpira

Kwa mawasiliano wasiliana nasi kwa namba 0742175616 au 0676983629

MWENYE UJUZI HALALI NJAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wotel kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…