Kama ataweza kufuata iman za kiislam ni Morogoro muslim university ebwane pale ni sheria ngumu sijapata ona, mwanafunzi wa kike huwez kuona ugoko wake hata siku moja, ila nina wasiwasi usije kujuta pale mwanao atakapofukuzwa chuo maana kosa dogo sana unarudishwa nyumbani