Chuo cha Mafunzo ya Uwalimu Monduli.

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,901
Reaction score
4,129
Habari wakuu.

Mdogo wangu kachaguliwa kusomea Stashahada (Diploma) ya uwalimu wa kilimo katika chuo tajwa hapo juu.

Naomba kujua hali ya chuo na mazingira ya chuo kwa ujumla.

Na vipi hali ya soko la ajira baada ya kuhitimu katika fani hii ya Uwalimu wa kilimo?

Na je akishachaguliwa diploma anaweza kuchaguliwa pia degree kwenye chuo kingine mwaka huu? Maana anasubiria matokeo ya degree pia.

Natangulisha shukurani.
 
Asome lakini ajira hakuna walimu mwaka wa 3 huu hakuna ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…