tzhumoally
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 412
- 156
Sawa mkuu nashukuru sanaHicho Chuo hata mie kuna ndugu yangu kapangiwa huko, wanafungua tarehe 8/1/2017. Nasikia darasa hilo litakuwa na wanafunzi kama 12 tu!. Hiki Chuo wanasoma kwa pesa ya serikali, hakuna ada, wanakula, wanalala kwa mtonyo wa serikali. Wakimaliza masomo yao, wanapangiwa vituo vya kazi kama vile unavyoona polisi wakimaliza siku hiyo hiyo wanasambazwa vituo vya kazi walipopangiwa. Mwambie huyo ndugu yako awasiliane na huyu ndugu yangu kwa simu nambari
0626 35 93 23
0759 52 03 06
mie huyu ndugu yangu ni mwanamme
Huyo ndugu yako yuko wapi? huyu ndugu yangu yuko Mwanza. na je ndugu yako ni mwanamme/mwanamke?Sawa mkuu nashukuru sana
Huyo ndugu yako yuko wapi? huyu ndugu yangu yuko Mwanza. na je ndugu yako ni mwanamme/mwanamke?
heeeeeeeeeeeeeeeee safi sana JF ina raha zake, kumbe tayari wamewasiliana! safi sana. Sasa mbona hujaniambia ahsante kwa kuwa mkweli kwako???Yupo dar na ni wa kiume..tayar wameshawasiliana
heeeeeeeeeeeeeeeee safi sana JF ina raha zake, kumbe tayari wamewasiliana! safi sana. Sasa mbona hujaniambia ahsante kwa kuwa mkweli kwako???
Ahsante kunisahihisha ndege YOHANAChikira wanafunzi wapo 32 na sio 12
hahahahahah ahsante kushukuru. mwambie ndugu yako wakasome maana nasikia hicho chuo msuli wake sio wa polepoleDaah samahani mkuu nilipitiwa..ila shukran sana
hahahahahah ahsante kushukuru. mwambie ndugu yako wakasome maana nasikia hicho chuo msuli wake sio wa polepoleDaah samahani mkuu nilipitiwa..ila shukran sana
hahahahahah ahsante kushukuru. mwambie ndugu yako wakasome maana nasikia hicho chuo msuli wake sio wa polepole