Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Habar wanajamii wenzangu.

Kuna rafiki yangu anasumbuliwa sana na chunusi zaidi wakati akiingia kwenye siku zake. Aliambiwa akiwa na mtoto hiyo hali itaisha na sasa ashaolewa ila hali bado inaendelea

Naomba ushauri ni jinsi gani naweza msaidia.
 
Mi nlikuwaga na vichunus vikubwa hadi kama vidonda haviponi miaka nkaambiwa sabuni lundo nkatumia wapi. Mwisho wa maneno nkaja kuambiwa sabuni moja simple inaitwa ROBERTS ndo ikanisaidia, haikubaki chunusi hata moja.

Mwambie atafute hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…