Ellie Senior Member Sep 2, 2011 123 15 Oct 9, 2011 #1 Wakuu natafuta chumba na sebule maeneo ya Savei,sinza A opp. na mlimani city na pia maeneo ya mwenge mtu mwenye ifo au namna yeyote ya kunisaidia pliiz just Pm me!
Wakuu natafuta chumba na sebule maeneo ya Savei,sinza A opp. na mlimani city na pia maeneo ya mwenge mtu mwenye ifo au namna yeyote ya kunisaidia pliiz just Pm me!
CYPRIAN MKALI Senior Member Nov 12, 2010 176 65 Oct 9, 2011 #2 watafute madalali wa nyumba wa maeneo hayo wakupe vyumba.