Chumba ,vyumba,kwa bei nafuu.

saly91

Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
86
Reaction score
27
Hello wanajamvi,natafuta chumba chenye vyumba viwili,kiwe ndani ya fensi,kiwe maeneo ya kimara.Budget ya malipo iwe maximum laki mmoja kwa mwezi.Mwenye information zozote ni PM please.
 
Mkuu...chumba chenye vyumba viwili?..sijawahi kusikia nyumba za namna hii.
 
Mi nafuta chumba chenye nyumba humo humo
 
Kwanini usiende kwa madalali wa maeneo ya kimara watakusaidia.. Vitu vingine sio vyote utapata majibu ya kueleweka humu JF..

Au unakimbia kulipa 10%
 
Kwanini usiende kwa madalali wa maeneo ya kimara watakusaidia.. Vitu vingine sio vyote utapata majibu ya kueleweka humu JF..

Au unakimbia kulipa 10%

hao madalali wa maeneo ya kimara nawapataje kaka?
 
Saly91
Nenda hapo kimara kwenye vijiwe ukiona wanaume wengi wako vijiweni waulizie madalali am sure utasaidiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…