Chumba (self) kinapangishwa

Chumba (self) kinapangishwa

aqeelah

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
360
Reaction score
240
Chumba kinapangishwa Kipo ubungo gereji, kina choo ndani, tiles, jipsom na ni kikubwa. Maji na umeme vipo na kuna parking.. usalama wa kutosha (nyumba ina get na utulivu wa kutosha), kodi ni laki 1 kwa mwezi na inatakiwa kodi ya miezi 10 (maelewano yapo) kwa mawasiliano 0789206314
 
''Chumba kimoja laki moja na inatakiwa kodi ya miezi 10''........Asante sana
 
Chumba kinapangishwa Kipo ubungo gereji, kina choo ndani, tiles, jipsom na ni kikubwa. Maji na umeme vipo na kuna parking.. usalama wa kutosha (nyumba ina get na utulivu wa kutosha), kodi ni laki 1 kwa mwezi na inatakiwa kodi ya

miezi 10 (maelewano yapo) kwa mawasiliano
0789206314
Unaweza kuweka picha za hicho chumba?
 
vipi kuhusu jiko au ni chumba kama chumba tu..kwanini kodi ya miezi 10 na si mwaka mana tumezoea miezi 6 au mwaka kwanini miezi 10
 
Mlipe na kodi mfano weww hiyo laki peleka tra 30 elf
 
Hicho mUDSM ndiyo kinamfaa. Ila usijekushangaa wanalala watu 6 humo 😎
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom