lakini naona sio lazima mtu apate chumba survey kwa mwanafunzi wa vyuo vya udsm au ardhi..hata maeneo ya mwenge mpakani pia sio pabaya sana maana ni basi moja tu mpaka chuoni na hakuna foleni njiani na yule wa survey pia nae ni basi moja tu toka survey mpka chuoni. kwaiyo anza kuangalia uwezekano wa vyumba hapo mwenge