new generation JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 815 Reaction score 1,725 Dec 28, 2014 #1 Habari wapendwa?? Natafata mahala pa kupanga (mwanza) kiwe ni chumba na sebure ikiwezekana na jiko.. Lakin hata bila jiko naweza kupanga. Quality iwe poa. Yenye ceiling board. Mobile # 0763503046/0719058458, na iwe gari moja kwenda mjini.. Asanteni.
Habari wapendwa?? Natafata mahala pa kupanga (mwanza) kiwe ni chumba na sebure ikiwezekana na jiko.. Lakin hata bila jiko naweza kupanga. Quality iwe poa. Yenye ceiling board. Mobile # 0763503046/0719058458, na iwe gari moja kwenda mjini.. Asanteni.