Wanajf kuna chumba na sebule vinapangishwa yemen tandale.....kwenye kituo kabisa...ukishuka ndan ya gar unaingia getin kwako ndan.nyumba ina gypsum..ipo ndan ya fensi....ulinzi wa kutosha umeme na maji vinapatikana.kama unahitaji call me through 0658904648