heshima kwenu brothers and sisters..
Nyumba ya uani inapangishwa ubungo external nyuma ya ukuta wa export processing zone..
1.Ina umeme na maji ( ya dawasco)
2. Ina chumba na sebule .. Plus choo cha nje
3. Ipo ndani ya fence
4. Hakuna Tiles ( zimewekwa chooni tu)
5. Bei ni laki 1 kwa mwezi kodi miezi sita.
Ni hayo tu kwa herini..
0718537216