Chumba na sebule kinapangishwa mwenge

Chumba na sebule kinapangishwa mwenge

JMWAKA

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
739
Reaction score
653
Habari zenu wanajamvi
Kwa wale wanaopenda kupanga mwenge karibu kabisa na bamaga na Afrikasana

Chumba chenye choo ndani (master room) sebule na jiko, ipo ndani ya geti parking ya gari ipo maji ya uhakika 24/7

Tuwasiliane
 
Tuwasiliane 0658183618
Hyo bei mbna kubwa saanaa
 
Hahaha eti bei kubwa kisa IPO karibia na bamagaaa Ingesogea kidogo pale TBc ingekuwa laki tano na ingekaribia ITV million so shukuru ipo bamaga ndo maana bei ndogo 230 tu
 
Tena ukishalipa hiyo haulipi maji safi wala maji taka..... Mpaka mkataba utakapoisha
 
Chumba bado kipochi nataka nipate sehemu ya mapumziko wife akizingua hom
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom