Chumba na sebule kinahitajika

ngina25

Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
30
Reaction score
3
Habari zenu. Nahitaji chumba( master) na sebule,jiko..maeneo ya kinondoni au kijitonyama,,anayeweza kunisaidia asanteni
 
Pia mimi nahitaji chumba na sebule maeneo ya tegeta kwa ndevu au kibaoni au maeneo ya karibu. TAFADHALI
 
Ingekuwa vyema km mngeweka range ya uezo wenu wa kod...mf kuanzia sh. kadhaa had kadhaa...
 
TZS;70,000-100,000 Tegete kwa ndevu kibaoni na karibu ya hapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…