Chumba master bedroom Ubungo kinapangishwa

Sijakuelewa tatizo lako ni nin haswa?
Kama ni bei kaongea na muhusika/mwenye NYUMBA anayepangishaga kwa bei hiyo
Sioni haja ya kutokwa na povu humu Bila sababu.
 
Duuhh....cha ukweli xana....nina demu wangu yuko benki xaxa huwa anapenda nimpangishie rum kwa ajili ya kumla....je maeneo hayo yamejificha maana yey anapenda xehem iliyojificha
 
Duuhh....cha ukweli xana....nina demu wangu yuko benki xaxa huwa anapenda nimpangishie rum kwa ajili ya kumla....je maeneo hayo yamejificha maana yey anapenda xehem iliyojificha
Hahaha Umetisha mzee baba
 
Anaejua penye chumba singe isiyozidi 70 au master nzuri isiyozidi 100k yenye maji,umeme,gypsm umbal toka barabarn usizid 1km maeneo ya sinza, mwenge,riverside,bondeni,tang bovu, mbezi shule, goigi, makonde
Vzr mwenye nyumba asiwepo apo pia wapangj wasizid3 maeneo tulivu tusaidiane ipo pesa yaudalal nusu kodi vyuma vimekazaa
 
Mkuu
140,000 i will pay 6 month
Ukiafiki My number 0758728258
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…