Chumba master bedroom Ubungo kinapangishwa

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,665
salaam,
Chumba ambacho ni self contained Kinapangishwa katika eneo la ubungo (nyuma ya ubungo Plaza)
Chumba ni cha kisasa kabisa, kikiwa na gypsum board, tiles, slides Windows pamoja na washroom kubwa na ya kisasa.

Umbali kutoka stand ya ubungo ni dakika 5 kwa mwendo wa miguu na dakika 7 kutoka stand ya mawasiliano.
Utaratibu wa malipo ni miezi 6 tu.
Kodi kwa mwezi ni 180k

More info : 0756 832833
 
Mamayo chumba kimoja laki moja na elfu themanini kodi ya miezi sita!
 
by ngoko ad chuo
Ingekuwa laki moja ningemchukulia dogo anakuja kuanza masomo yake hapo yudizim,lakini kwa hiyo bei jaribu kuwasiliana na Wema Sepede,au Hamisa Mobede!

Dogo angepata maeneo hayo najua kuibukia yudizim angekuwa anaprint tu kwenda lectures!!!
 
Available
Shusha bei wewe upate mteja ...hiyo ni bei ya enzi za jk..watu wanapangisha nyumba nzima sinza vyumba viwili,master,sebule,choo,jiko na store kwa laki tatu wanachukua miezi mitatu hadi minne na unaweza kulipa kwa instalments plus no hela ya dalali.
we we unapangisha room moja ubungo kwa laki na themanini miezi sita. Mkuu hebu kuwa serious kidogo.. Reasonable prize hapo ni sh elfu hamsini.

Laki na 80 Mara 6 ni Milioni Moja na Elfu Themanini. Hicho chumba kimoja wakati kwa bei hiyo unapata nyumba nzima sinza kwa miezi mitatu na change inabaki...

Ni chizi tu ndo anaweza kupanga chumba hicho kwa bei kichaa kama hiyo.

Kwa hela hiyo so bora apange chumba Manzese elfu 40 kwa mwezi alipe kodi ya miezi mitatu halafu hiyo hela nyingine azungumshe biashara after one year inaweza kuwa Mara kumi yake akanunue mwenyewe kiwanja pugu milioni moja na.nusu ajenge kwa milioni tano.

Acha utoto mkuu
 
Umeweka bandiko refu ila bado hoja yako ya msingi sijaiona.
Iko hivi mkuu kwenye maisha siku zote Kuna kitu kinaitwa classes (madaraja)
Wew umeshauri bei ishuke angalau mpaka 50k kwa mtazamo wako inaweza kuwa affordable kwa kila mmoja, ila tambua wakati wew unaona hiyo 50k ni reasonable mwingine hata umwambie 30k hawezi afford kulipa.
Na pia ukisema kila mtu aisha kwa mtazamo wako si sahihi, (ishi kwa principles zako ili utimize malengo yako).
Si kila mtu atahitaji kwenda kuishi Manzese hata kama Kuna chumba cha elfu 10k.
Unapoona hiyo 180k ni kubwa uko sahihi kwa upande wako ila kumbuka vipato havifanani ndio maana Kuna classes kwenye jamii.
 
Kungekuwa na button ya kudislike, ningekulamba BAN!
 
Kuna things are universal ..u were not even supposed to talk about class..hicho chumba kina class gani? Huo mtaa una class IPI mkuu?

Mtaa huo naujua vizuri sana..Hapo nyuma karibu na Kagame Hotel.. Like serious ? Mitaa hiyo kuna vyumba kibao vyenye hadhi kuliko chako na vinaoangishwa kwa 50 kodi miezi mitatu no dalali unabisha muulize Florian kama.unamjua ..

Umechemka mkuu hicho chumba hakina hadhi ya bei hiyo and there is nothing classic about it
 
Ukifika 30sh nishtue.. Nitoke zangu shekilango kwa kota nije hapo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…