Chumba kingine kinapangishwa mabibo

uwepo

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
600
Reaction score
743
New
Habari wana forum nina chumba kingine lengo nahamisha wapangaji wenye familia na kuleta wanafunzi. Cha mwanzo nilicholeta tangazo nashukuru nilipata mwanafunzi

hii ni fursa yako nzuri mwanafunzi kujipatia GPA nzuri ukiwa unakaa mahali penye utulivu

Natanguliza shukurani za dhati

Chumba na sebule


mahali Mabibo mwisho

Bei elfu 80 kodi ya miezi sita
Sifa za nyumba
Kuna geti
Maji yapo ya bomba na kisima cha kutunza maji pia kipo

Mteja ninayemtaka
awe mwanafunzi wa chuo chochote hata mkiwa wawil si mbaya jinsia yoyote hamna neno
Angalizo kama dalali usijisumbue................................................................

Mawasiliano 0717184353
 
Mimi na demu wangu ni wanafunzi tuje utatupa?
 
Mwanafunzi chumba na sebule Ya kazi gani??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…