Chumba cha kulala/biashara/ngono/kujifungulia/mahabusu/ au???
Kuwa specific basi. Afu Mwenge ni kubwa sana.... Isitoshe naamini ka Tecno kako kana Kamera... hebu itumie basi....
Mkuu sio kila sehemu ukachangia, vingine potezea, nahisi Huna kazi ya Kufanya.. Na kama Huna uhitaji na kitu sio lazima uchangie, vingine unapotezea, wewe kila jukwaani upo, nina wasi wasi na jinasia yako
hahahaha mkuu wacha kulala mika unaambiwa kweli unaona kama unaonewa vile toa maelezo yaliyojitosheleza chumba cha nini??
na kama alivyokwambia mwenge kubwa so nyoosha maelezo mwenge sehem gani??
au unapenda kupigiwa simu hovyo ?? au ndio wale wale madalali uchwala ambao umetegesha mtego wa kupata pesa kupitia kwenda kumwonyesha mteja chumba ili ulambe pesa yako ya kwenda kumwonyesha ili hali ukijua kabisa sifa za chumba atakacho na unachoenda kumwonyesha ni tofauti kabisa??
Kwa hio hutaki kuweka maelezo yote ili ukipigiwa upate pesa ya udalali?
Acha njaa
Mkuu sio kila sehemu ukachangia, vingine potezea, nahisi Huna kazi ya Kufanya.. Na kama Huna uhitaji na kitu sio lazima uchangie, vingine unapotezea, wewe kila jukwaani upo, nina wasi wasi na jinasia yako
ngoja nikuondoe wasiwasi, mimi ni mwanaume. Kama wewe ni mwanamke unaweza kujaribu bahati yako.
Baada ya kusema hayo napenda kukutaarifu kuwa ni haki yangu kuchangia jukwaa lolote hapa JF, huna mamlaka yoyote ya kunizuia.
Sasa jibu swali chumba unachopangisha ni cha nini?
Unaruhusiwa kutuambia na gharama zako za udalali. Ni bishara halali pia.
Mkuu hebu kampeni jamaa tamu apunguze kiherehere mana kazidi, yani mumpe dudu atulie
we tunzo weeee...ngoja upelekwe segadance na haya maneno yako..vip am serious hivyo vyumba ni master ndugu au vya kawaida..
Chumba cha kulala/biashara/ngono/kujifungulia/mahabusu/ au???
Kuwa specific basi. Afu Mwenge ni kubwa sana.... Isitoshe naamini ka Tecno kako kana Kamera... hebu itumie basi....
Moja Ina master, moja haina ila zote zina vyumba vitatu na zipo ndani ya uzio, na zote zina kila kitu muhimu,