Chumba kinapangishwa Mabibo hakina dalali

Chumba kinapangishwa Mabibo hakina dalali

dropetch

Member
Joined
Aug 3, 2017
Posts
88
Reaction score
80
Chumba kinapangishwa single sio self contained.
*Kipo Mabibo External (Mandela road)dakika saba kwenda kituoni
*LUKU ya kushare watu wanne
*Maji yapo
*Kipo ndani ya geti,parking ya kutosha
*Choo cha ndani cha kushare...
Kodi kwa Mwezi 70,000 kimelipiwa miezi 6.
Amekaa miezi miwili so anataka mtu akichukue arudishiwe kodi yake iliyobaki ya miezi minne...280,000

Check me
0675 425 148
 
Mwenye nyumba alikuibia,sio self halafu bei yote hiyo?
Mie natafuta self,pa kufikia hapo mjini,nikija kuuza mazao yangu
 
Mwenye nyumba alikuibia,sio self halafu bei yote hiyo?
Mie natafuta self,pa kufikia hapo mjini,nikija kuuza mazao yangu
Watafute madalali utapata self kwa bei hiyo maeneo hayo pia..
Watafute madalali mkuu kama umeona bei kubwa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom