Chumba kinahitajika

Chumba kinahitajika

Grey256

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
1,242
Reaction score
2,618
Natafuta chumba(masterbedroom) au single/na sebule ila kiwe kizuri maeneo ya kinondoni.Iwe karibu na kituo cha mwendokasi.Bajeti yangu mwisho ni 80000 miezi sita...
 
80,000/= iwe ndio kwa kodi kwa miezi sita utapata kweli!!!! ngoja tusubiri madalali waje
 
Natafuta chumba(masterbedroom) au single/na sebule ila kiwe kizuri maeneo ya kinondoni.Iwe karibu na kituo cha mwendokasi.Bajeti yangu mwisho ni 80000 miezi sita...
Unapenda vitu vizuri lakini pesa hauna ndio tatizo.kinondoni chumba cha chini kabisa na choo cha foleni 30,000/=
 
MASTERBEDROOM KINONDONI!

Dahhhhhh Sh ngapi kwa mwezi?
 
baki tu kijijini kwenu mjini hiyo pesa uliyoitaja hata kwa mwezi huwezi pata kinondoni kwa aina ya chumba ukitakacho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom