Chumba kimoja elfu 40 kwa mwezi kimara

Taratibu za malipo...kodi kwa mwezi au kwa mwaka
 
Mkuu mbona nimesema dakika 20 mpaka 30 kwa kutembea
Tofautisha Umbali na Muda,
Umbali hupimwa kwa Kilometa (au meta),
Muda hupimwa kwa Saa (au dakika)
 
Vuta maji yaingize kwako tutakuja.
 
Unaposema "Just kidding" unakuwa na maana gani labda
 
Ni kikubwa naweza kukigawa kwa pazia nipate chumba na sebule?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…