ambatanisha pichaChumba kinapangishwa kipo katika mazingira mazuri kabisa ya utulivu
Wapangaji wapo sita vyoo vipo vinne mabafu yapo matatu vyumba vingine ni self container vimejaa
Umeme buku kumi kwa mwezi
Maji yapo karibu ya bomba ni 100 ndoo kwa mwezi ni 5000
Hakuna udalali ukiamua utanipa hela ya soda ha ha ha ......just kiding
weka picha isije ikawa ni porini mtu aje afu u-bensananeChumba kinapangishwa kipo katika mazingira mazuri kabisa ya utulivu
Wapangaji wapo sita vyoo vipo vinne mabafu yapo matatu vyumba vingine ni self container vimejaa
Umeme buku kumi kwa mwezi
Maji yapo karibu ya bomba ni 100 ndoo kwa mwezi ni 5000
Hakuna udalali ukiamua utanipa hela ya soda ha ha ha ......just kiding
duh si nje ya mjiKipo Kimara mwisho maeneo ya king'ong'o bodaboda 1000
Noah 500
Tax 500
Miguu kutoka stand mpaka hapo ni dakika 20 mpaka 30
haha haha hahah hahahweka picha isije ikawa ni porini mtu aje afu u-bensanane
poa poa mkuuUnaruhusiwa kupaona mwenyewe mkuu picha nitakudanganya chumba kizur na kina kibalaza kikubwa kabisa unaweza kutumia kama jiko au kastoo
Wewe ni dalali ama mwenye nyumba. Maji yapo? Choo safi? Mwenye nyumba anakaa hapo? Gari inafika? Kina ceiling? Ni cha nje ama cha ndani?Unaruhusiwa kupaona mwenyewe mkuu picha nitakudanganya chumba kizur na kina kibalaza kikubwa kabisa unaweza kutumia kama jiko au kastoo
Mkuu mbona nimeandika yote soma tena vzur chumba cha nje gar linafika mpaka ndani hakuna dalali mkuuWewe ni dalali ama mwenye nyumba. Maji yapo? Choo safi? Mwenye nyumba anakaa hapo? Gari inafika? Kina ceiling? Ni cha nje ama cha ndani?
Kimara ipi?Chumba kinapangishwa kipo katika mazingira mazuri kabisa ya utulivu
Wapangaji wapo sita vyoo vipo vinne mabafu yapo matatu vyumba vingine ni self container vimejaa
Umeme buku kumi kwa mwezi
Maji yapo karibu ya bomba ni 100 ndoo kwa mwezi ni 5000
Hakuna udalali ukiamua utanipa hela ya soda ha ha ha ......just kiding
Akikujibu nishtue!Wewe ni dalali ama mwenye nyumba. Maji yapo? Choo safi? Mwenye nyumba anakaa hapo? Gari inafika? Kina ceiling? Ni cha nje ama cha ndani?
Dah, basi!!Kipo Kimara mwisho maeneo ya king'ong'o bodaboda 1000
Noah 500
Tax 500
Miguu kutoka stand mpaka hapo ni dakika 20 mpaka 30
Nimeona sentence ya mwisho nikajua unatania.Nipo serious mkuu