ubongokid JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 2,336 Reaction score 4,595 Mar 16, 2018 #1 Inahitajika Fremu Ya duka iliyoko karibu na makazi ya watu maeneo ya Kigamboni karibu na feri isiwe mbali na chuo cha Kivukoni.Mwenye nayo aniPM nimuunganishie mteja,
Inahitajika Fremu Ya duka iliyoko karibu na makazi ya watu maeneo ya Kigamboni karibu na feri isiwe mbali na chuo cha Kivukoni.Mwenye nayo aniPM nimuunganishie mteja,
Time Traveller JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 314 Reaction score 305 Mar 16, 2018 #2 Nenda Kigamboni karibu na stand ya daladala kuna frem nilikuwa na bango la kupangishwa