tunage JF-Expert Member Joined Dec 8, 2015 Posts 252 Reaction score 168 Mar 26, 2017 #1 Natafuta chumb chakupanga maeneo y Big brother mabibo....nyumba isiwe na wanafunzi wengi wanakelel sana hawa bajeti 50k ikiwezekana iwe na watu wachache ASANTENI
Natafuta chumb chakupanga maeneo y Big brother mabibo....nyumba isiwe na wanafunzi wengi wanakelel sana hawa bajeti 50k ikiwezekana iwe na watu wachache ASANTENI
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,898 Reaction score 33,078 Mar 26, 2017 #2 Ukitaka masharti yote hayo ufanikiwe usiweke bajeti ya hela. Sasa unawapangia watu kikomo cha hela na masharti juu jamani?
Ukitaka masharti yote hayo ufanikiwe usiweke bajeti ya hela. Sasa unawapangia watu kikomo cha hela na masharti juu jamani?