Habarini ndugu zangu..
Ninaomba tuwasiliane mwenye mwenye chumba cha kupanga maeneo ya mikocheni B, Chama au Msasani.
Chumba kiwe self (kikiwa na sebule itapendeza)
Maji uhakika..budget 150k self bila sebule na 200k na sebule.
Sent using
Jamii Forums mobile app