I Issa m Member Joined Jul 23, 2017 Posts 13 Reaction score 1 Jan 15, 2018 #1 Nahitaji chumba cha kupanga,maeneo ya Ubungo,Kimara na Magomeni.Kiwe self container nyumba safi mpya.Pia nataka kujua niandae bei gani.
Nahitaji chumba cha kupanga,maeneo ya Ubungo,Kimara na Magomeni.Kiwe self container nyumba safi mpya.Pia nataka kujua niandae bei gani.
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,272 Reaction score 96,398 Jan 15, 2018 #2 Issa m said: Nahitaji chumba cha kupanga,maeneo ya Ubungo,Kimara na Magomeni.Kiwe self container nyumba safi mpya.Pia nataka kujua niandae bei gani. Click to expand... Nyumba mpya sio? Self "container"? Hebu weka wazi kidogo hilo container liwe la futi ishirini au arobaini? Umesema Magomeni?? Ngoja nikutafutie mkuu.
Issa m said: Nahitaji chumba cha kupanga,maeneo ya Ubungo,Kimara na Magomeni.Kiwe self container nyumba safi mpya.Pia nataka kujua niandae bei gani. Click to expand... Nyumba mpya sio? Self "container"? Hebu weka wazi kidogo hilo container liwe la futi ishirini au arobaini? Umesema Magomeni?? Ngoja nikutafutie mkuu.
PrincessAnne JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 1,875 Reaction score 2,228 Jan 15, 2018 #3 Andaa 150000