Chumba cha kupanga viwili

Tungi nayoifaham chumba na sebure 130K? Hyo bei ni plus jiko, bafu na choo?. Huko ni uswahilini hata kama vyote vinapatkana kwenye nyumba hyo lakin si kwa bei hyo
 
Tungi nayoifaham chumba na sebure 130K? Hyo bei ni plus jiko, bafu na choo?. Huko ni uswahilini hata kama vyote vinapatkana kwenye nyumba hyo lakin si kwa bei hyo
Rafiki kitu usichokijua si vizur kukisemea vibaya hujaifahamu hii nyumba,wewe si muhitaji hii nyumba ni moja ya nyumba classic na siba haja kuipigia debe inajieleza kwa muhitaji, na haipo uswahilini si tungi hiyo ujuayo wewe hapa si mbali na kwa Msomari sheli.
 
Iko poa inamadirisha pia makubwa kwa hewa safi. Na hiyo rangi ya kijani itapendeza kunikumbusha zile kampeni za kile chama chetu
 
Nyumba ya rangi ya cc*** [emoji23][emoji23][emoji23]nikilala humu usiku lazima niote nimetekwa
 
Vipi boss
Hiyo nyumba inafaa kufugia ng'ombe ?
Km inafaa niPM
 
Natafuta single self arusha ndani ya jiji area sakina kijenge kaloleni mbauda mianzini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…