Chumba cha kupanga kinahitajika

Ballac

Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
68
Reaction score
8
Chumba cha kupanga kinahitajika....bajet ya 50 elfu per month na isiwe zaid ya kodi kwa miezi 6 kiwe maeneo ya fire/baresa kkoo.....madalali nawasikiliza kwa haraka km inawezekana...pm 0714250626/0757470207
 
Dah mkuu pole bwana, hela hiyo cjui hata km Magomeni au utapatq chumba, achilia mbali Fire au Kariakoo
 
Nambie nione kama ntajivuta vuta mkuu

Mm sio dalala boss ila ulizia bei ya vyumba maeneo hayo uliyotajwa utasikia, kuna rafiki yangu juzi kati amepata chumba mtaa wa Lumumba Ksriakoo gharama ni 150000 kwa chumba kimoja
 
sh. 50,000/- ni bei za mahali kama mtoni kwa aziz ally na hata huko wala usitarajie kama unaweza kupata chumba cha maana sana kwa hiyo bei manake huko nako wanafunzi wamefanya gharama za pango zipande.
 
sh. 50,000/- ni bei za mahali kama mtoni kwa aziz ally na hata huko wala usitarajie kama unaweza kupata chumba cha maana sana kwa hiyo bei manake huko nako wanafunzi wamefanya gharama za pango zipande.

Magomen mapipa vp
 
aah wapi mbona mi nimepata hapa msasani kwa 50
 
Magomen mapipa vp
Nimekutajia eneo ambalo nina uzoefu nalo lakini hata hivyo sidhani kama bei za Mapipa na Kwa Azizi Ally zinaweza kutofautiana sana... zitakuwa zinalenga mle mle tu lakini cha kuzingatia ni kwamba, kwa hiyo sh.50,000 hata kwa Aziz Ally huwezi kupata nyumba classic... ni kwenye nyumba zile zile zetu tulizozoea... za ku-share kila kitu zilizojengwa miaka kadhaa iliyopita! Acha wenye nyumba Dar waringe!
 
aah wapi mbona mi nimepata hapa msasani kwa 50
Umepnga lini hapo? Isije ikawa ni kule ambako ikifika miezi kama hii basi ukienda mjini au kwenye mishe mishe zako unakuwa roho mkononi manake unaweza kuta siku unarudi frij linapiga mbizi!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…