K Kiwalani finest Senior Member Joined Jul 6, 2024 Posts 116 Reaction score 85 Apr 16, 2025 #1 Amelaaniwa mtu yule Mwenye kujibidiisha kwa makusudi kuyaendea visivyo Maelekezo ya Mwenyezi Mungu huku akili ikiwaza hila na janja iliyojaa choyo na Ubinafsi ya kuwadhulumu Mafukara.
Amelaaniwa mtu yule Mwenye kujibidiisha kwa makusudi kuyaendea visivyo Maelekezo ya Mwenyezi Mungu huku akili ikiwaza hila na janja iliyojaa choyo na Ubinafsi ya kuwadhulumu Mafukara.