Nina Camera ya kuconnect na desktop ni mpya kwenye box lake haijatumika, nipe ofa uje uchukue hapa Posta Dar. Nilinunua ila ilichelewa kuja nikanunua nyingine hivyo hii ninaiuza.
Bei nipe wewe nikiridhika njoo uchukue Posta ofisini kabisa sio utapeli.