Me na ke ktk stage za mwanzo wakiwa tumboni wanakua na stage sawa za ukuaji.. Na ubadilika pale sex zinapoanza tokea, hivyo kwa mwanamke zitaendelea kukua ila kwa mwanaume zita acha kukua.
Mkuu pitia biology upya, ata tumbo likiguswa utasisimka.. Ni kawaida kwa ngozi kuwa na sensory cell za mguso.. Hiyo haipi kazi chuchu kuwa kama sexual stimulant bwana.
Mkuu maelezo yako tayari yanaonyesha kuwa ushafanyiwa hivyo na ukajisikia raha pole sanaa nimetambua una umama ndani yako sababu ujatafautiana na mke wangu ki fikra
Acha kujificha kwenye kichaka cha Elimu, haitakusaidia kujifunza zaidi. Jazba zako zinanipa tafsiri kuwa huenda unachokisema ndiyo kinachokusumbua (Una elimu ndogo au Hujaelimika kabisa)