Osteomyelitis inflamation of the bone ugonjwa huu husababishwa mara nying na infection hasa haswa za bacteria kama staphyloccocus Aures, stap spcies zingne... pia kuna vitu kama TB nazo hu athiri mifupa kwa style kama hiyo.
kipi chakufanya: kama ana sumbuliwa na hiyo osteomyelitis unabidi afanyiwe bone marrow aspiration hii si spacemen inayo tolewa kama histological specimen naku fanyiwa vipimo kama gram stain & culture.
Osteomyelitis ina tibika uki wahi kama ni bacteria infection, ila hakikisha kwanza ume pima bone marrow ili kujua ni aina gani ya microganism wana sumbua. Kwan kuendelea acha ilo tatizo yaweza sababisha ata mgonjwa kupata Anemia( mapungufu ya damu) kwan uroto ni moja kati ya sehemu muhimu za uzalishaji wa damu. Ivyo iki hathiriwa napo huleta shida.
NOTE: bone marrow aspiration ni moja kati ya specimen collection inayo uma kuliko zote hospitalini.