Umempimaje?Ana Migraine
Hizi process kubabekMambo mhimu ya kuzingatia:
1: Fika kituo cha afya/hospitali.
2: Onana na daktari ukiweza kumwona daktari bingwa wa magonjwa ya ndani/physician itakuwa vyema zaidi.
3: Utahitajika kutoa historia ya ugonjwa wako kikamilifu. Jinsi kichwa kinavyouma, ukali wa maumivu unaongeka kadri siku zinavyopita au kiko vilevile?
4: Utatakiwa kuonyesha mahusiano ya maumivu ya kichwa na hali za kimaisha kama stress, kukaa na njaa mda mrefu, kusafiri, kelele, mabadiliko kwenye upataji usingizi, unywaji wako wa maji nk.
5: Utatakiwa kuelezea vitu au hali zinazoambatana na maumivu ya kichwa: kutopenda kelele, kutopenda mwanga au kichefuchefu?
6: Utatakiwa kuonyesha ni maeneo gani hasa kichwa huuma na jinsi kinavyouma?
7: Utatakiwa kuonyesha mahusiano ya kichwa na unaposimama au kukaa au kuinama?
8: Mahusiano na baadhi ya vyakula kama mtindi, chokoleti, perfume na vyakula vya kusindika?
9: Daktari ataomba ufanye vipimo kulingana na mtakapofikia na maswali hapo juu.
10: Msingi wa yote hapo juu ni kujua tatizo na jinsi ya kukushauri ili lisikutokee mara kwa mara kwa kuzuia visababishi au kuzuia ukali wa tatizo linapokuwa limeanza.
Nakutakia tiba njema.
Mimi: Until_The_EndUnazengua , unaulizwa vitu hujibu.
Tumia hii dawa ( chukua kwanza ya siku Tano).
Tab. Propranolol 40mg OD PO for 5days( Moja mara Moja Kwa siku Tano).
Ukiona kimepotea unitafute, kikiwa bado unitafute na uwe tayari kujibu unachoulizwa.
NB.Utakayesoma hapa , usijichanganye na Kichwa chako nawee ukaenda kuitafuta dawa hiyo.
Hujawahi kumdhulumu mtu? Hata kukimbia na Deni na kugoma kulipa?Mimi: Until_The_End
Umri: 26
Jinsia: Me
Naumwa kichwa kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Kwa kipindi hiki kimeuma mfululizo mwaka mzima, kila siku inabidi nitumie pain killer.
Miaka ya nyuma kilikuwa kinauma siku 3 hadi tano kisha kinapotea.
Kichwa kinauma Juu ya chunusi za macho, kikiuma kinaambatana na kamasi ambalo linaanza kusumbua pua.
Baadhi ya nyakati kuna maumivu kama kuchoma yanatokea kichwani yanakuwa connected mpaka kwenye tundu za pua.
Kikianza kuuma huwa inabidi nikae chumba chenye giza au kufunika sehemu ya macho na kuwa mbali na kelele.
Nilienda pharmacy nikapewa dawa inaitwa sumatriptan lakini haikusaidia.
Kila siku natumia Diclopa ili kutuliza maumivu.
Naomba ushauri au recommendation ya dawa
View attachment 3421636
Unatatizo la MIGRAINE !!.Mimi: Until_The_End

Na km bado kikiendelea utampangia anywe dawa gani nyingine daktari?Basi IMETOSHA.
Unatatizo la MIGRAINE !!.
Kwa Sasa unatakiwa utumie hizo Dawa hapo juu nilikuambia
Utazimeza kwanza Kwa siku Tano, Kisha utaona majibu uendelee nazo Kwa mwezi ,Kisha uwe unanipa Mrejesho
Hakitokuuma Tena !!
Tab. Propranolol 40mg OD PO for 5days( Moja mara Moja Kwa siku Tano).Mimi: Until_The_End
Umri: 26
Jinsia: Me
Naumwa kichwa kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Kwa kipindi hiki kimeuma mfululizo mwaka mzima, kila siku inabidi nitumie pain killer.
Miaka ya nyuma kilikuwa kinauma siku 3 hadi tano kisha kinapotea.
Kichwa kinauma Juu ya chunusi za macho, kikiuma kinaambatana na kamasi ambalo linaanza kusumbua pua.
Baadhi ya nyakati kuna maumivu kama kuchoma yanatokea kichwani yanakuwa connected mpaka kwenye tundu za pua.
Kikianza kuuma huwa inabidi nikae chumba chenye giza au kufunika sehemu ya macho na kuwa mbali na kelele.
Nilienda pharmacy nikapewa dawa inaitwa sumatriptan lakini haikusaidia.
Kila siku natumia Diclopa ili kutuliza maumivu.
Naomba ushauri au recommendation ya dawa
View attachment 3421636
Nimekimbia na deni, kikiwa tayari kimesha anza miaka mingi iliyopitaHujawahi kumdhulumu mtu? Hata kukimbia na Deni na kugoma kulipa?
Asante mkuu.Basi IMETOSHA.
Unatatizo la MIGRAINE !!.
Kwa Sasa unatakiwa utumie hizo Dawa hapo juu nilikuambia
Utazimeza kwanza Kwa siku Tano, Kisha utaona majibu uendelee nazo Kwa mwezi ,Kisha uwe unanipa Mrejesho
Hakitokuuma Tena !!
Hapa natumia zote kwa wakati mmoja, au nianze na mojaTab. Propranolol 40mg OD PO for 5days( Moja mara Moja Kwa siku Tano).
Tab Prednisolone 10mg BD PO for 7 days.
Pole sana mkuu nikiwa kama mdau wa afya mwandamizii seniorHbr zza usku wajameni ninaumwa kichwa ambacho hakiskii dawa wala chochote hadi sa nyingne nashindwa kuongea wala kula mnisaidie, sjui tatizo n nn? Msaada nifanyeje ama nina ugonjwa unaosababisha hv sjui, yaan kinaweza kufululiza hata sku tano tu. Sa hv mpaka nishaacha kunywa pain killer kabisa. Nkinywa maji sasa yaan nkienda kukojoa inabdi nishikilie mishipa ya kichwa ndo kinazdi kabisa
Huyu Nmemtibu based on maelezo yake tu !! Kama bado kitaendelea Kuna Vipimo nitamshauri avifanye kwanza kisha nitamtibu.Na km bado kikiendelea utampangia anywe dawa gani nyingine daktari?
Ndio Kwa pamoja ni Gharama ndogo tu hizo hazizidi elfu Tatu .Hapa natumia zote kwa wakati mmoja, au nianze na moja
Mazito yanafunga hadi puaNdio Kwa pamoja ni Gharama ndogo tu hizo hazizidi elfu Tatu .
Makamasi hayo ni maji maji au mazito??
Mkuu, hope vasograin tabs itamfaa zaidiiHuyu Nmemtibu based on maelezo yake tu !! Kama bado kitaendelea Kuna Vipimo nitamshauri avifanye kwanza kisha nitamtibu.
Ila na hakika ni Migraine tu !!
Ongezea na hiziMazito yanafunga hadi pua
Hizi process kubabek
Kwanza unafika kituoni foleni watu wamefika tangu saa 12 asubuhi wewe wa saa 2 asubuhi unajikuta mtu wa 50 huko kichwa kinabangua hapo kumbuka utatakiwa usubiri foleni mpaka watu 49 waishe maana kila mtu kapewa kinamba chake kwenye kikaratasi hapo hujala hujanywa maji mpaka unaonana na daktari saa 12 na nusu jioni muda wa serikali kufanya kazi ushaisha na daktari kufanya kazi mwisho saa 10 jioni tuonane kesho kichwa kinaendelea kuuma vile vile dawa hujapata vipimo hujapata matibabu hujapata, foleni foleni foleni
1. Acha kabisa painkillers kwa sasa – maana tayari umesema hazifanyi kazi, na kuzitumia kupita kiasi kunaweza kuharibu ini au figo.
2. Nenda hospitali ya maana (sio pharmacy), omba kufanyiwa:
CT Scan au MRI ya kichwa (kuangalia kama kuna tatizo kwenye ubongo)
Vipimo vya damu (kuangalia infection au tatizo la figo, ini, au pressure)
BP check – presha ikipanda sana au kushuka sana huleta maumivu haya
3. Maji ya kunywa endelea kunywa kidogo kidogo tu, usinywe kwa nguvu nyingi kwa mara moja.
Last check je huwa kinauma muda ule ule kila siku mfano machana saa sita au muda wowote lakini ni kila ikifika muda huo lazima kiume kama hivyo niambie nitakwambia ufanye nini
Asante mkuu...Ongezea na hizi
-T.Amoxclav 625mg BD PO 7 days .
-Ephedrine Nasal drops , 2 drops every 4 hours for 7 days
Kwan Kati ya Kichwa kuumwa na Màfua, ni kipi Huwa kinaanza?.
Sawa tumia hizo dawaAsante mkuu...
Kichwa ndiyo kinaanza.